У нас вы можете посмотреть бесплатно Baadhi ya wakazi wa Solai wadai wapendwa wao hawajulikani waliko или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miili ya watu wawili kati ya 45 waliofariki kufuatia mkasa wa bwawa Patel kuvunja kingo zake hatimaye imetambuliwa. Hii ni baada ya Philip Ekeno kuitambua miili hiyo ya dadake na mwanawe wa kiume katika hifadhi ya maiti ya Nakuru. Haya yanajiri huku waliosalia wakianza shughuli za kujenga tena upya makaazi yao yaliyosombwa na maji usiku wa Alhamisi. Tayari misa ya maombi imepangwa kufanyika siku ya jumatano wiki ijayo kwa wenyeji wa solai waliopoteza wapendwa wao Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke / citizentvkenya / citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya / citizentvkenya