У нас вы можете посмотреть бесплатно WATU 7 WAFARIKI KWA AJALI WAKITOKEA KUTAZAMA SIMBA DAY TARIME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WATU 7 WAFARIKI KWA AJALI WAKITOKEA KUTAZAMA SIMBA DAY #HABARI: Watu saba wamepoteza maisha alfajiri ya leo Septemba 11*, baada ya gari dogo aina ya *Probox walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo, kata ya Bukwe, Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara. Taarifa zinaeleza kuwa marehemu walikuwa wakitokea Tamasha la Simba Day lililofanyika jijini Tarime jana Septemba 10, na walikua wakirejea kijijini kwao Utegi kabla ya kukumbwa na ajali hiyo mbaya. Gari hiyo yenye namba za usajili T.625 DYV iligongana uso kwa uso na lori lililosimama barabarani bila tahadhari, na kusababisha vifo hivyo vya kusikitisha. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Tarime, Dkt. Yonah Charles, amethibitisha kupokea miili ya watu saba – wanaume wanne na wanawake watatu – waliopoteza maisha papo hapo. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi juu ya chanzo halisi na uzembe uliosababisha ajali hiyo.