У нас вы можете посмотреть бесплатно HOME WORSHIP 8 - WAKATI WA NOELI - NYIMBO ZA WOKOVU 105 ( OFFICIAL VIDEO) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika chaneli hii tushiriki pamoja Baraka za Bwana wetu Yesu Kristo kupitia wimbo huu:WAKATI WA NOELI - NYIMBO ZA WOKOVU 105 Cover: KWIZERA REMY Piano: Aimable 1Wakati wa Noeli nafika kwenye hori, :/: alipolala Yesu, maskini, mtulivu. :/: 2Mwokozi wangu mwema, kwa pendo ulifika, :/: nitoke dhambi zangu, nipate kuwa wako:/: 3Nakuhitaji, Yesu, rafiki wa watoto. :/:Sitaki kuumiza kwa dhambi wewe tena. :/: 4Nitashukuru Yesu milele na milele. :/: maana alifika kutuokoa sisi. :/: #burundigospel #rwandagospel #kenyagospel #papi_clever_dorcas #swahilimusic #tanzaniagospel Jiandikishe, like, toa maoni na ubonyeze kengele ya arifa ili kupokea wimbo wa kwanza kati ya mpya zinazokuja hivi karibuni.