У нас вы можете посмотреть бесплатно LONGIDO Waponea TUNDU La SINDANO Kwa SILINDE "MMEFANYA VIZURI" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
aibu waziri wa TAMISEMI David Silinde ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Longido kwa kukamilisha ujenzi wa madarasa na mabweni yote katika mradi wa lipa kwa matokeo EP4R kwa vizuri na kubana matumizi ya ununuzi wa vifaa. Hayo ameyasema baada ya kutembela shule mbili za longido secondary na shule ya msingi Sinya na kukuta wamemaliza ujenzi wa mabweni mawili na madarasa kwa gharama ile ile waliyopewa na serikali na kusema walimu hao wameonesha uaminifu wa fedha za umma kwa matumizi mazuri na yeye atawasemea vizuri wapandishwe vyeo kwa kufanya vizuri. Wilaya ya longido ni wilaya mfano kwa kukamlisha miradi yote ya mabweni katika wilaya hiyo katika shule zaidi ya nne walizopelekewa na serikali kwa gharama zilezile licha ya kuwa mbali na mji wa Arusha mpakani mwa Tanzania na Kenya ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline