У нас вы можете посмотреть бесплатно WANAFUNZI WAWILI WADAIWA KUFA MAJI MTO KARANGA PACKAGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WANAFUNZI WAWILI WADAWA KUFA MAJI MTO KARANGA . IMANI ZA KISHIRIKINA ZATAJWA . WANAFUNZI wawili wa shule ya Msingi Tumaini iliyopo kata ya Karanga katika Manispaa ya Moshi wanadiwa kufariki Dunia baada ya kuchukuliwa na maji wakati wakiogelea mto Karanga baada ya kutoka shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada . Mwenyekiti wa Mtaa wa Bonite Peter William Mboro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba jitihada za kutafuta miili ya Watoto hao zinaendelea. Hii ni mara ya pili kwa tukio la aina hii kutokea likihusisha wanafunzi wa shule ya Msingi Tumaini ambapo June 2023 mwanafunzi wa shule hiyo alichukuliwa na maji kabla ya mwili wake kuopolewa mtoni.