У нас вы можете посмотреть бесплатно Shoo ya PAPII kwa Wabunge, Mawaziri, Acha Kabisa! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Please watch: "Okwi na Boko Walivyoichakaza Majimaji FC, SIMBA 4-0 MAJIMAJI" • Видео -~- / kidanistars ACHA KABISA! Kwa mara ya kwanza tangu atoke jela, msanii mahiri wa muziki wa Dansi, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ hivi karibuni aliacha gumzo baada ya kufanya shoo ya aina yake huku akiwadatisha mawaziri, wabunge. ILIKUWA HIVI Chanzo makini kilichokuwa kwenye tukio hilo kilieleza kuwa, Papii alifanya shoo hiyo Jumamosi iliyopita katika sherehe ya harusi ya Katibu Tawala wa Wilaya ya Iringa (DAS), Joseph Chitinka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mbezi Garden jijini Dar. Kiliendelea kusimulia kuwa, harusi hiyo ilikuwa ni ya aina yake na ya kipekee kutokana na wingi wa vigogo wa serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) huku Papii akiongeza mvuto zaidi baada ya kuibuka ukumbini kama sapraizi. / kidanistars / kidanistars / kidanistars / kidanistars / kidanistars