У нас вы можете посмотреть бесплатно Ukweli Kuhusu Mayai Ya Kisasa - Hawataki Ujue или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi tunakula mayai kila siku bila kujiuliza yanatoka wapi na yamezalishwa vipi. Mayai ya cage hutoka kwa kuku wanaofugwa kwenye mazingira yenye msongamano mkubwa, bila uhuru wa kutembea, na mara nyingi hulishwa vyakula vya viwandani pamoja na dawa. Je, mayai haya ni salama kiafya? Je, yana virutubisho sawa na mayai ya kuku wa asili (kienyeji/free range)? Video hii inakufungua macho kuhusu tofauti, hatari zinazoweza kuwepo, na nini unapaswa kuzingatia kabla ya kununua mayai dukani. 👉 Afya yako huanza na unachokula. #Mayai #AfyaYaMwili #LisheBora #AfyaKwanza #MayaiYaKuku #MayaiYaCage #KukuWaVizimba #UkweliWaLishe #ElimuYaAfya #ChakulaSalama #AfyaJamii #ChakulaAsili #AfyaYaKilaSiku #LisheNaAfya #MaishaBora #AfyaYaWatanzania #MloBora #KingaYaMwili #AfyaNiUtajiri #UelewaWaAfya