У нас вы можете посмотреть бесплатно Ask. Bagonza afiwa na Dada yake siku moja baada ya kumzika Baba yake. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baba Askofu Dr. Benson Kalikawe Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, kwa niaba ya familia ya hayati Benjamini Yakobo Bagonza; anatoa shukrani nyingi kwa wote mlioungana na familia yao kumsindikiza baba yao kwa mazishi yaliyofanyika tarehe 27/09/2025. Mungu awabariki sana. Pamoja na shukrani hizo, anapenda kuwatangazia tena, kifo Cha dada yake DORA BAGONZA, ambaye ni kifungua mimba wa baba na mama yao mzazi; kilichotokea tarehe 28/9/2025, saa 12.45 asubuhi, katika Hospitali ya Regency - Dar es salaam. Mwili utasafirishwa kuja Karagwe tarehe 29/9/2025 na mazishi yatafanyika nyumbani kwao Irundu - Nyakahanga, Karagwe; siku ya Jumanne, tarehe 30/9/2025, kuanzia saa 3.00 asubuhi. Habari ziwafikie ndugu, Jamaa na marafiki wote, popote walipo. "...Alitoa, Ametwaa...Hatutamuwazia Mungu kwa upumbavu" Ayubu 1:21-22