У нас вы можете посмотреть бесплатно DC BOMBOKO NA MWANASHERIA WA MWEKEZAJI SHAMBA LA MAKOA WAJIBIZANA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Hai Hassan Bomboko amelazimika kuzungumza na mtu anayetajwa kama mwanasheria wa Mwekezaji katika Shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika cha Uduru Makoa baada ya kutokea hali ya kutoelewana na mwekezaji huyo. Hatua hiyo imetokeamuda mfupi baada ya mwekezaji Bi. Elisabeth Stegmmaier, raia wa Ujerumani kwa kile kilichoonekana kuwa ni dharau kwa viongozi wa serikali waliowasili shambani hapo kwa mazungumzo rasmi. DC Bomboko, akiwa ameambatana na Mbunge wa Hai Mh. Saashisha Mafuwe, Mrajisi wa Vyama vya Ushirika nchini Dkt. Benson Ndiege na viongozi wengine wa serikali, alimtaka mwekezaji huyo kusikiliza kwanza ujumbe wa serikali kabla ya kuchukua hatua yoyote binafsi.