У нас вы можете посмотреть бесплатно Nita Tanganza by Laetitia Mwana Joy Official Video Lyrics или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Artiste : @laetitiamwanajoy Audio and Video by @producer_rejoice Lyrics: Zamani mimi nilikuwa mwenye dhambi Kwa wema wako ukanipenda Bwana Ukanichagua kabla sijazaliwa Ukachukua dhambi zangu, msalabani ukaniokoa Ukalipa madeni yangu, sasa leo niko huru Isipokuwa wewe, hakuna angeweza kunielewa Na madhaifu yangu, heiye iyeh Lakini Bwana katika madhaifu yangu ukagundua ndani samani yangu Mahali nilikuwa sistahili ukanistahilisha Mahali nilikuwa sifai ukanifanya wa thamani Mimi ni nani, ni nani uniokoe Mimi ni nani, ni nani uniokoe Mimi ni nani, ni nani uniokoe Mimi ni nani, ni nani unitazame Mimi ni nani, ni nani uniokoe Mimi ni nani, ni nani unitazame Mimi ni nani, ni nani uniokoe Nitatangaza wema wako Nitakiri kwamba wewe ni Bwana Nitatangaza wema wako wako Nitakiri kwamba wewe ni Bwana, Mwokozi wangu Ni wewe… Ni wewe Ohuwoh, Ohuwoh Ni wewe… Ni wewe Nitatangaza wema wako Nitakiri kwamba wewe ni Bwana Nitatangaza wema wako wako Nitakiri kwamba wewe ni Bwana Ohuwoh, Ohuwoh Mimi ni nani, ni nani unitazame Mimi ni nani, ni nani uniokoe #NitaTangaza #LaetitiaMwanaJoy #swahiliworship #gospelkenya #worshipmusic #adoration2025 #rjproduction #praiseandworship #swahiligospel #gospelafrica #christianworship #AfricanWorship #JesusReigns #Worshipper