У нас вы можете посмотреть бесплатно IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
IJUE HISTORIA YA MAAJABU YA MWANAMALUNDI #MAAJABU #DIAMOND Ngw'anamalundi alizaliwa katika kijiji cha Mwakubunga Nera katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza mnamo 1892 na kupewa jina la Igulu Bugomola, Igulu ikiwa na maana ya mbingu. Alizaliwa akiwa mtoto wa mwisho na wa pekee wa kiume kati ya watoto wanne wa familia ya mzee Bugomola na Ngolo Igulu. Igulu (Ngw'anamalundi) alikua na tabia ya uzururaji na haikuwa rahisi kumkuta nyumbani. Alikua mahiri wa kucheza ngoma, na mara nyingi alifuatwa na kundi la watoto kwa sababu hiyo. Hali hii iliwachukiza wazazi wengi kutokana na kwamba watoto wao, ambao pia walikuwa wakiwategemea katika kuchunga mifugo, waliwatelekeza mifugo na kumfuata Igulu, hivyo kupelekea kupotea kwa watoto wa mifugo hao. /GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho