У нас вы можете посмотреть бесплатно UTAMU| UCHUNGU WA WAZIRI ULEGA ALIPOKAGUA BARABARA YA MNIVATA - MITESA MTWARA| "WAZAWA WAPEWE AJIRA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, siku ya Mei 26 Mwaka huu, amefika wilayani Masasi mkoani Mtwara na kupokelewa na mwenyeji wake ambae ni mkuu wa mkoa huo kanali Patrick Kenan Sawala, tayari kwa ajili ya kukagua Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Mnivata Mitesa, yenye urefu wa Km 160 inayoendelea kujengwa kwa kiwango cha lami na Wakandarasi wawili tofauti. Mhe Ulega, ameanza kukagua Barabara ya Mitesa Masasi yenye urefu wa Km 60, inayojengwa chini ya Mkandarasi aitwae China Communication construction company LTD, yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92. Mhe Waziri ameoneshwa kulizika na hali ya Ujenzi huo kwani mpaka sasa umefikia asilimia 31 huku matarajio ya Mradi yakiwa ni asilimia 34. Baada ya hapo, Waziri Ulega, akafika kwenye Kijiji cha Lidumbe kata ya Mahuta wilayani Tandahimba, Kijiji kilichopo ndani ya Mradi wa Barabara ya Mnivata Mitesa yenye Urefu wa Km 100 mradi wenye gharama ya Shilingi Bilioni 142 na kujionea hali ilivyo. Mhe Ulega kama kawaida yake akataka kujua kuhusu Wakazi wa maeneo hayo kupatiwa ajira hata za muda mfupi, Mara hii akamtaka Diwani wa kata hiyo Mhe. Namkuu Mohamed, maarufu kama PURTIN, atoe majibu ya hilo ndipo alipomthibitishia Waziri huyo kuwa Kampuni hiyo haiwapi ajira Wazawa. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU