• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Dizasta Vina - Siku Mbaya скачать в хорошем качестве

Dizasta Vina - Siku Mbaya 7 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Dizasta Vina - Siku Mbaya
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Dizasta Vina - Siku Mbaya в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Siku Mbaya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Dizasta Vina - Siku Mbaya в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Dizasta Vina - Siku Mbaya

Stream And download SIKU MBAYA Audiomack - https://audiomack.com/song/dizasta-vi... Mdundo - http://mdundo.com/a/2263 Boomplay - https://www.boomplay.com/songs/646553... Apple Music - https://music.apple.com/us/album/siku... Spotify - https://open.spotify.com/track/65361i... Follow Dizasta Vina on socials FACEBOOK -   / dizastavina07   TWITTER -   / dizastavina   INSTAGRAM -   / dizastavina   Music video by Dizasta Vina performing SIKU MBAYA. (C) 2018 PanoramaAuthentik Lyrics [Yeah! Black market! Ringle Beatz! Nakurupuka kitandani baada ya ndoto za kutisha Moyo unadunda sana na jasho linanitiririka Macho nafikicha, taswira, naona kiza Kwa muda nasizi kimya na dakika zinapita Zikijirudia ndoto hatari naona woga Nakosa hoja napotafakari nilichoota Namwamsha wife aniwekee maji ya kuoga Ananijibu anahisi homa na mwili mzima umechoka Nampa pole, Staki kuanzisha zogo wala nini Maana hata sura inaonesha ana kinyongo na mimi Ni muda sasa napokua nae hajiamini Nacheki saa nagundua nimechelewa kazini Napiga zangu maji mwilini And just for the record, Mimi ndo mtunza funguo za ofisini Nakuta wafanyakazi na bosi wapo getini Kwa ghadhabu kila mmoja akinitazama mimi Kabla sijameza mate wala sijabuni sala Naambiwa walikuja wazabuni kwa biashara Na kwakua nilichelewa kufungua ofisi Mchongo ukafa, nimeingizia kampuni hasara Baada ya masaa kibao ya kufikiri Ofisi ikaweka kikao kunijadili Waliniona driver nimeangusha basi Wakafikia mwafaka wakunifukuza kazi Nikatahamaki, sikujua lakufanya Pale kwenye kamati hakuna wa kumtazama Nikahisi ni mipango ya kikuda imefanywa Sio gari tu, maana hata nyumba nilinyang'anywa Nikajiuliza huruma imekwenda wapi? Kila mtu alijua kua nilipenda kazi Niliheshimu kama navyoheshimu ndoa ama mzazi Ama muumba, leo nimepata doa kwenye shati Acha familia, vipi deni la ofisi Wamenipa mwezi, nikifeli watanifilisi Mtoto shule, pia bunju nina shamba la kukopa Sijalipa na kijiji nina ndugu wa kutosha Nguvu zilimalizika, nikatoka kwa adabu Licha ya ghadhabu kunishika Nikajipa moyo kua nna mikono pia na miguu Vyote vyangu sina sababu ya kushindwa Nilikosa wa kunishika wa kumweleza Mshahara ulikua mdogo nilishindwa kuwekeza Nikapiga moyo konde mimi mwanaume nita-fight Nikpanda gari nikampe taarifa wife Nikiwa ndani ya dimbwi la mawazo Nikitafakari hivi vitimbi na vikwazo Mbele yangu akakatiza mpita njia Kwakua sikua makini na gari nikamvamiA Dakika mbili, wananchi wakalizunguka gari Wakinishutumu sana sababu ya mwendo mkali Nikaitikia wito nikitegemea thawabu Nikampeleka mgonjwa na akaanza matibabu Narudi zangu home, misemo ya kishenzi nikitema Chumbani nasikia mihemo ya mapenzi Bila hodi, mlango nikaufungua kwa ghadhabu Nikamkuta house-boy juu ya kifua cha mke wangu! Nikabaki kama zuzu Yule wa kunifariji ndio ameniletea uchungu Nilitaka nilianzishe sikua na nguvu Huku nafsi inanishauri kwamba nimwachie Mungu Swalini kwamba sina moyo mkunjufu? Au kwakua muda sijaenda kuabudu? Au tuseme mja nina gundu? Au kwakua nilijenga nyumba na sikuwajulisha ndugu? Sijaona faida ya pato langu Wazazi walikufa bila kula jasho langu Mawazo kwenye kichwa yamezidi Dunia ina watu wengi na sioni wa kunifariji Naitazama ardhi, naitazama mbingu Sioni nuru nachoona ni maumivu Maswali mengi, bila majibu Ila Swali kubwa ni vipi mimi nitaimaliza siku? Jua linazama bado sijiamini Naona nadondoka ila sioni nikifika chini Saa tano na dakika hamsini Bado dakika kumi siku iishe na sijui kinafata nini Oh my God!

Comments

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5