У нас вы можете посмотреть бесплатно Tabasamu acharuka Mgodi wa Nyanzaga kuuzwa mara 7 "Yule mzungu amepotea amebadilisha na laini" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Sengerema (CCM), Hamis Tabasamu amelalamikia changamoto ya mgodi wa Nyanzaga kuuzwa mara saba na wawekezaji waliopewa kuuendeleza tangu mwaka 2002 jambo ambalo ameeleza limeendelea kuwagharimu wananchi wake kwa kutopata fedha za CSR ambazo walitarajia kwaajili ya maendeleo ya wananchi. Tabasamu ameyasema hayo leo Alhamisi April 4, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/2025 Tabasamu ametaka iundwe tume ya bunge kuchungumza mauziano hayo ambayo ameeleza kuwa yamekuwa yakifanyika punde mkataba wa uwekezaji unapokaribia kumalizika. "Mkataba ulikuwa ni miezi 18 kujenga lakini hawa watu walienda kujiandaa na tayari wamekwishapotea na aliyekuwa CEO yule mzungu amepotea na kabadilisha na laini ya simu" ameongeza Tabasamu