Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mzee Francis Ong’udi atia bidii kupanda miche kuzuia mafuriko в хорошем качестве

Mzee Francis Ong’udi atia bidii kupanda miche kuzuia mafuriko 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mzee Francis Ong’udi atia bidii kupanda miche kuzuia mafuriko

Huku dunia ikiendelea kukabiliana na maafa yanayotokana na mabadiliko ya tabianchi, upanzi wa miche umeonekana kuwa njia ya kwanza ya kukabiliana na tatizo hili. Katika kaunti ya Kisumu, mzee mmoja ameanzisha mradi wa kupanda miche ili kuepuka athari za mafuriko. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, bunge la Kisumu pia limepitisha mswada ambao utahakikisha kuwa serikali ya kaunti inatenga asilimia mbili ya bajeti ya maendeleo kuangazia masuala ya mabadiliko ya tabianchi

Comments