У нас вы можете посмотреть бесплатно Nguruwe Anaweza Kukupa Milioni 1 Ndani ya Miezi 6? Ukweli wa Kitaalamu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, nguruwe anaweza kweli kukufikisha hadi zaidi ya shilingi milioni 1 ndani ya miezi 6? Au ni hadithi tu ambayo imezoeleka kusambazwa kwenye vijiwe na mitandaoni? Katika Episode ya Kwanza ya podcast hii, nimechambua kwa kina ukweli wa kitaalamu kuhusu: Ukuaji halisi wa nguruwe (kg 90–110+ ndani ya miezi 5–6) Imani potofu zinazowafanya wafugaji wengi washindwe kufikia faida kubwa Hesabu rahisi za mapato kulingana na uzito na bei ya soko Makosa ya kawaida yanayopunguza uzito na faida ya nguruwe Umuhimu wa elimu sahihi katika ufugaji wa kisasa 🎯 Lengo la podcast hii ni kutoa elimu ya vitendo kwa wafugaji wa nguruwe, kuku na miradi mingine ya mifugo ili kuwasaidia kufanya ufugaji kama biashara, siyo mazoea. Katika episodes zijazo tutazungumzia kwa undani: Aina sahihi ya chakula cha kuku na nguruwe Ratiba za ukuaji na uzalishaji Gharama halisi vs faida Masoko na mbinu za kupunguza hasara Ushauri kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliobobea 📌 Kama wewe ni: Mfugaji anayeanza Mfugaji aliyekwama kimaendeleo Au mtu anayependa kuwekeza kwenye ufugaji kibiashara Podcast hii ni kwa ajili yako. 👉 Subscribe, like na share ili usikose episode zijazo. Maswali yako ya ufugaji unaweza kuyaacha kwenye comments. #ufugajiwanguruwe =========================== WASILIANA NASI MOJA KWA MOJA PHONE: 0764148221 / 0679148221 EMAIL: RUBABAIMANI@GMAIL.COM WEB: HTTPS://TANZANIANAKILIMO.BLOGSPOT.COM