У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE UNGANDO WA KIBITI PWANI AKISEREBUKA NA MBUNGI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBUNGE UNGANDO WA KIBITI PWANI AKISEREBUKA NA MBUNGI Na Omary Mngindo, Kibiti Rufiji Pwani Tanzania- Feb 4 MBUNGE wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani Mohamed Ungando pichani akiserebuka na ngoma ya asili inayopigwa na wakazi wilayani humo aina ya Mbungi. Mbunge Ungando ameungana na wapigakura wake ikiwa ni sherehe za kutimiza miaka 41 ya kuzaliwa kwa chama hicho iliyofanyika kwenye ofisi za chama hicho iliyoko Kibiti mjini mkoani hapa. Katika sherehe hizo zilizihudhuliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Ramadhani Maneno, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho Taifa (MNEC) Haji Abuu Jumaa na viongozi mbalimbali. MWISHO.