У нас вы можете посмотреть бесплатно JIFUNZE KUTENGA MUDA KWA USAHIHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika somo hili tutajifunza jinsi ya kutenga muda kwa usahihi ili kuongeza ufanisi na kufikia malengo yetu. Tutazungumzia mbinu mbalimbali za kutenga muda kwa ufanisi, kama vile kuweka vipaumbele, kufanya orodha ya kazi, kuepuka vikwazo vya wakati na kadhalika. Utajifunza pia jinsi ya kuweka ratiba yako ya kila siku, kuanzisha mazoea ya kujitolea kwa muda uliotengwa, na kuepuka vishawishi vya kupoteza muda kama vile mitandao ya kijamii na kuzungumza na marafiki. Kwa hiyo, ikiwa unataka kuwa na muda wa kutosha kufanya kile unachopenda na kufikia malengo yako, basi hili ni somo maalum sana kwako. Fuatana na Ezden Jumanne katika uchambuzi huu na usiache kuweka maoni yako na kugonga LIKE. Karibu sana! . LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE – SHARE . NUNUA KOZI YA SPEAKING SKILLS: Tuma neno KOZI au COURSE kwenye whatsapp WhatsApp: http://wa.me/255759191076 Bei ya punguzo: 20,000 TZS tu. . OUR SPONSOR’S DETAILS: Al-Rahmah Schools Location: Mkuranga Phone: 0673-52-66-44 IG: / alrahmahschools . JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE): Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii: https://chat.whatsapp.com/JxOUqZBdf35... . WASILIANA NA EZDEN JUMANNE Voice-over Talent | Content Entreprenuer | Speaker Instagram: / ezdenjumanne Twitter: / ezdenjumanne Facebook: / ezdenjumanne WhatsApp: http://wa.me/255759191076 . SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine: . HAMASA YA LEO👇🏽 / hamasayaleo . JE WAJUA?👇🏽 / @jewajua5506 . VOICE-OVER CHANNEL👇🏽 / voiceovertanzania . KWA MATANGAZO KWA BIASHARA: Kuweka tangazo lako kwenye channel hii. Unahitaji Voice-over (English & Swahili). Kutengenezewa tangazo zuri Tuwasiliane kwa taarifa hizi hapa chini: CALLS: (+255) 759 191 076 WHATSAPP: http://wa.me/255759191076 EMAIL: [email protected] . . #kutenga #muda #Ezden