У нас вы можете посмотреть бесплатно Makamu wa Kwanza wa Rais afanya ziara majumbani kuwaona wagonjwa na wenye mahitaji maalum или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema kuwa Ramadhani imekuja ili kujenga umoja, maridhiano na mshikamano miongoni mwa watu, sambamba na kupata fursa ya kubaini changamoto halisi zinazowakabili wananchi. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo, Milimani-Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi ‘B’ akikhitimisha ziara yake maalum, aliyoianza mwanzoni mwa Aprili 2022, ya kuwafariji na kuwapa pole wafiwa, wajane, wagonjwa na watu mbali mbali wasiojiweza, katika Mikoa yote Mitatu ya Unguja.