У нас вы можете посмотреть бесплатно OLE NJOLAI, MSUYA WAMLILIA BANDUKA, ALAMA ZAKE HAZIFUTIKI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
iongozi wastaafu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya, pamoja na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Daniel Ole Njolai, wameeleza namna hayati Nicodemus Banduka (80) alivyoacha alama isiyofutika ndani ya serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM). Wakizungumza wakati wa mazishi yake katika makaburi ya KKKT, Usharika wa Mruma, Wilaya ya Mwanga, viongozi hao walisema Banduka alikuwa kiongozi mzalendo, mchapakazi na mfano wa kuigwa. Banduka, ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Shinyanga na Pwani, alifariki dunia Februari 7, 2025, akipatiwa matibabu Hospitali ya Mloganzila, Dar es Salaam.