У нас вы можете посмотреть бесплатно BMG TV: WASIRA amjibu LISSU akihitimisha kampeni Mwanza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Vyama mbalimbali vya siasa Novemba 26, 2024 vimehitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji zilizoanza Novemba 20, 2024 na kujiandaa na zoezi la kupiga kura Jumatano Novemba 27,2024 katika mikoa yote Tanzania Bara. Katika Mkoa wa Mwanza, Mjumbe wa NEC Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amehitimisha kampeni kwa upande wa chama hicho na kuwasihi wananchi kuwapigia kura wagombea wake huku akitumia fursa hiyo kumjibu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli alizozitoa wakati wa kampeni akiwa Mwanza. BMG Media- Pamoja Daima! Tovuti https://www.bmgblog.co.tz/ Facebook / bmghabari Twitter / bmghabari Instagram / bmghabari #BMGTV #BMGBLOG #BMGHABARI Pamoja Daima BMG