У нас вы можете посмотреть бесплатно Ujumbe Muhimu kwa Mwombaji na Mhubiri || Pastor Ulenje || Moyo wa Maombi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu tuendelee kujifunza SIKU 100 ZA KUJIFUNZA KUHUSU ROHO MTAKATIFU na Hili ni somo la 04/100 Ni somo muhimu sana naamini litakuinua na kukufanya kuwa shujaa wa imani; na utaweza kusimama kwenye zamu yako kuleta ukombozi kwenye familia na ukoo wako; na Mungu atakutumia sana si tu kwa familia bali hata kwa kizazi cha leo; wengi wataokolewa kupitia wewe. Leo tunajifunza kuhusu ROHO WA BWANA; Yesu anasema; Roho wa Bwana yu juu yangu, Kwa maana amenitia mafuta kuwahubiri maskini habari njema. Amenituma kuwatangazia wafungwa kufunguliwa kwao, Na vipofu kupata kuona tena, Kuwaacha huru waliosetwa, Lk 4:18 Utaona nini Yesu amemaanisha; na wewe unawezaje kuwa na Roho wa Bwana na akakutumia kufungua waliofungwa, na kuleta ukombozi wa familia, ukoo wako na generation ya sasa; na kupajenga mahali polipobomoka; na hapo ndipo penye nguvu ya maombi. Karibu Kujiunga na Channel yetu ya WhatsApp Kwa link hii hapa chini; https://whatsapp.com/channel/0029VbAc... Kuwasiliana na Pastor Ulenje +255 683 477827 +255 794 352533 ulenjemwaipungu@icloud.com MUNGU AKUBARIKI SANA Karibu kusikiliza #maombi #maombiyausiku #maombiyasiku #rohomtakatifu #nenolamungu #nenolaleo #swahili #upakolive #mchungaji #mtume #nabiidris #tanzania #kenya #uganda #congo #yesu #mafundishoyabiblia #mafundisho #pastorsunbellakyando #pastor