У нас вы можете посмотреть бесплатно Uwanja wa Talanta kubadilishwa kuwa Raila Odinga Stadium kabla ya AFCON 2027 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makala YA 35 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yanaendelea nchini Morocco, huku waandalizi Wa AFCON 2027—Uganda na Tanzania—wakishiriki mashindano hayo. Kenya ilikosa baada ya kubanduliwa katika hatua ya kufuzu. Licha ya pigo hilo, Kenya, ikishirikiana na Uganda na Tanzania, itaandaa AFCON ijayo mwaka 2027. Uwanja Wa Talanta ambao utabadilishw ajina na kuwa uwanja wa kimataifa wa Raila Odinga hapa Nairobi unatiwa nakshi Kwa fursa ya kipekee ya kuandaa mashindano hayo. Na kama anavyoarifu Steve Shitera, Teknolojia imetumika pakubwa Sana Katika ujenzi Wa uwanja huo na kuuweka Katika safu ya viwanja Bora zaidi ulimwenguni.