У нас вы можете посмотреть бесплатно Timu ya magongo ya Kenya inayonguruma kwenye barafu inalenga kilele… • RFI Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Barafu mara nyingi hushuhudiwa katika mataifa ya Ulaya. Ila kuna sehemu moja nchini Kenya ambapo barafu inapatikana. Uwanja wa barafu katika Hoteli ya Panari ni uwanja pekee wa barafu ukanda wa Afrika mashariki na kati. Hapo ndipo timu ya Kenya Ice Lions - timu pekee ya taifa ya mpira wa magongo ya barafu - hufanya mazoezi kila wiki. Licha ya mchezo huo kuwa si wa kawaida barani Afrika, Ice Lions wameendelea kuimarika. Sasa watapata nafasi ya kushindana kwenye jukwaa la kimataifa baada ya kupata uanachama hivi karibuni kwenye Shirikisho la Kimataifa la Magongo ya Barafu. Hivi karibuni, RFI Kiswahili ilitembelea timu hiyo jijini Nairobi ili kujua zaidi kuhusu safari yao. Mpiga picha/mzalishaji: Jason Sagini