У нас вы можете посмотреть бесплатно HALI TETE SUDAN: WATU 400 WAUAWA KINYAMA, HOFU YATANDA HADI NCHI JIRANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HALI TETE SUDAN: WATU 400 WAUAWA KINYAMA, HOFU YATANDA HADI NCHI JIRANI Kuzuka kwa uhasama baina ya majenerali wawili nchini sudan kumezua hofu kwa nchi majirani ambao wamekuwa wakitegemeana katika baadhi ya rasilimali ikiwemo maji yanayotiririka katika mto Nile Nchi ya Misri ambayo ni mtumiaji mkubwa wa maji ya mto Nile pamoja na Ethiopia ambayo inatumia maji ya mto huo katika kuzalisha umeme tayari zimewasilina na mamlaka zinazokinzana nchini humo kwa lengo la kutaka kusitishwa kwa mapigano Hofu baina ya mataifa hayo ni kwamba vita vinavyoendelea katika taifa hilo huenda vikasababisha ama kuathiri mtiririko mzima wa maji ya mto Nile pamoja uchafuzi wa maji hayo Kwa mujibu wa mashirika ya umoja wa mataifa zaidi ya watu 400 wameuawa huku wengine 3700 wakijeruhiwa katika vita vinavyoendelea nchini Sudan WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm