У нас вы можете посмотреть бесплатно ALIYEMUUA BODABODA NA KUMPORA PIKIPIKI NAE AUAWA MTWARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hivi karibuni kumetokea tukio la Mauaji ya Dereva bodaboda aliyefahamika kwa majina ya Msuko Abrahaman Juma mkazi wa Mikindani Mtwara, aliyeuawa na kuporwa Pikipiki katika msitu wa Kijiji cha Mnyundo kata ya Ndumbwe mkoani humo. Baada ya kutokea kwa tukio hilo amegundulika mtu aliyetekeleza mauaji hayo aliyetambulika kwa majina ya Ahmadi Saidi Kofi mkazi wa Mikindani ambapo alijaribu kuwakimbia Polisi walipokuwa wakimfuatilia ndipo Wananchi wenye hasira kali walipoanza kumfukuza na kumkamata kwenye Mtaa wa Mbae Manispaa ya Mtwara Mikindani, akapigwa hadi umauti ulipomkuta.