У нас вы можете посмотреть бесплатно SISI MKOA WA RUKWA TUNABAADHI YA CHANGAMOTO TUNAZIKABIDHI KWAKO UKAZIFANYIE KAZI WAZIRI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mheshimiwa Jacqueline Mzindakaya Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Rukwa Leo tarehe 08 Machi, 2026, nimeungana na wananchi wa Mkoa wangu wa Rukwa, Kata ya Laela, kumpokea Mheshimiwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba katika mkutano mkubwa wa hadhara. Kwanza , nimpongeze Mhe. Waziri Mkuu kwa kazi nzuri na ya mfano anayoendelea kuifanya katika kusimamia shughuli za Serikali kwa weledi mkubwa. Vilevile , nitumie fursa hii kumpongeza kwa dhati Rais wetu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ndani ya siku 100 tu za kampeni, tumeanza kuona matunda ya ahadi zake yakitekelezeka kwa vitendo. Maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya na upatikanaji wa Mikopo yamegusa maisha ya wana-Rukwa moja kwa moja na kuleta matumaini mapya. Pamoja na mafanikio haya, nimeendelea kuwa sauti ya wana-Rukwa kwa kumuomba Mhe. Rais atukumbuke katika ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa. Lengo letu ni kumaliza adha wanayoipata wananchi wetu kusafiri umbali mrefu na kutumia gharama kubwa kufuata matibabu ya kibingwa mikoa jirani.