У нас вы можете посмотреть бесплатно MTUWASA KUTUMIA BILIONI 29 KUKAMILISHA UJENZI WA TENKI LA MAJI LA LITA MILIONI 6 MANGAMBA MTWARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mkoani Mtwara (MTUWASA) inaendelea na ujenzi wa Tenki kubwa la Maji litakalokuwa na ujazo wa Lita Milioni 6, ambalo linajengwa katika Eneo la Mangamba Kata ya Mtawanya Manispaa ya Mtwara mikindani, huku likigharimu Shilingi Bilioni 29 za Kitanzania. Kwa sasa Eneo la Mjini lina Mahitaji ya Maji zaidi ya Lita Milioni 25 huku uzalishaji ukiwa ni Milioni 13 mpaka 16 hivyo kuna mapungufu ya Lita Milioni 6 mpaka 8 hali inayopelekea baadhi ya Wateja kupata huduma hiyo muhimu kwa Mgao. Kukamilika kwa Mradi huo, kunaenda kupunguza changamoto hiyo kubwa katika maeneo mengi ya Mjini. SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU