У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE WA KIBAHA SILVESTRY KOKA AWEKA HISTORIA, FANIKISHA HALMSHAURI YA MJI KIBAHA SASA NI MANISPAA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tamisemi Mohamed Mchengerwa ameitangaza halmashauri ya Mji kibaha kuwa Manispaa kamili baada ya kupeleka ombi kwa Rais la kuipandisha hadhi mji huo. amsema serikali kupitia Rais Samia amekubali kuipandisha hadhi halmashauri ya Mji kibaha baada ya kukidhi vigezo huku kukiwa na msukumo mkubwa kutoka kwa mbunge wa kibaha mji Silvestry Koka na Sasa inakuwa Manispaa kamili. kwa upande wake Mbunge wa kibaha mji Silvestry Koka amesema uamuzi huo wa serikali imekuwa ni furaha kubwa kwake kwani amelipambania jambo hilo kwa muda mrefu kupitia vikao vya bunge na sasa imekuwa manispaa kamili.