У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS SAMIA AMFUTA KAZI DC NA MKURUGENZI MOROGORO AKIWA LIVE “HAWANA KAZI, MGAMBO WANAPIGA WATU” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
“Juzi niliona pale Morogoro Vijana na Wajasiriamali wadogo wametengewa maeneo mbali na Watu na kwakuwa walikotengewa hawauzi wamerudi maeneo ambayo wameondoshwa na niliona Mgambo wakienda kuwavamia, kuwapiga na kuharibu vitu vyao” “Nimesikitika sana na niseme hapa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa eneo hilo hawana kazi, kwasababu kuna njia nzuri zaidi wangeitumia kusema na wale na wakaondoka sio picha ile niliyoiona kwenye TV, nakuagiza Waziri wa TAMISEMI kalisimamie hili”———Rais Samia Suluhu akiongea na Vijana Mwanza leo #MillardAyoUPDATES