У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE VITI MAALUMU TABORA AWASHUKIA WASTAAFU,"KAMA WAMESHINDWA WAKAE KIMYA" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#CgOnlineTv #MundeTambwe "Rais Samia ametamka wazi kuwa chanjo ni hiyari, Sasa wewe kiongozi mstaafu au kiongozi Ndani ya Chama cha Mapinduzi hutaki chanjo Kaa kimya, Niwaombe sana viongozi wastaafu wakae kimya waache kutuvuruga" Mbunge viti maalumu Mkoa wa Tabora Munde Tambwe, "Kuna watu wamekuja na mkakati wa kudai Katiba,Tulikaa bunge la Katiba wenzetu walijiunga wakajiita UKAWA wakuzunguka nchi nzima kuipinga Katiba iliyopendekezwa,leo tena wanakuja kuidai,Nia yao ni kutuvuruga, Mwananchi anataka maendeleo hakuna mwananchi anayetaka Katiba mpya, Wananchi vijijini wanataka Huduma nzuri hospitalini,Maji,Barabara,n.k, sasa wao haya mawazo ya Katiba mpya wanayatoa wapi"