У нас вы можете посмотреть бесплатно RC Kheri James Ashiriki Mahafali ya Chuo (Turnbull Tech College) Iringa, Asema Maarifa hayana Jinsia или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameshiriki Mahafali ya Turnbull Tech College, akiwa mgeni Rasmi katika Hafla hiyo Maalum na muhimu ya Chuo hicho kinachotoa Kozi za Ufundi Stadi kwa Vijana wanaotoka ndani ya Mkoa wa Iringa na Mikoa Mingine Nchini Tanzania. Katika Mahafali ya Chuo hicho, iliyofanyika Julai 26, 2025 katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo uliopo Manispaa ya Iringa mkoani Iringa, RC Kheri James, baada ya kuona asilimia 85 ya Wahitimu katika Chuo hicho ni Jinsia ya kike, amewataka Vijana wafute mawazo ya kizamani na waelewe kuwa Fani na Maarifa hayana Jinsia. Aidha, RC Kheri James, amewahimiza Wakuu wa Vyuo vya Kati, Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu Mkoani Iringa kuendelea kuhakikisha kwamba Elimu wanayoitoa Kwa Vijana hasa eneo la ujuzi iendane na Mazingira na iwasaidie Vijana kuishi kwenye Mazingira waliyonayo ili iwe rahisi kwao kuzitambua fursa zinazowazunguka na kuzichangamkia. Subscribe 'Focus TV' ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku. Focus TV inakupa Maudhui bora kuhusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. #FocusTVTanzania .................. Focus TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest. Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania