У нас вы можете посмотреть бесплатно DUNIANI HAPA SI KWETU BY INZAMBA GROUP TZ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Yohana 16: 33 "Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; Lakini jipeni moyo; Mimi nimeushinda ulimwengu." Duniani sio kwetu twaelekea juu mbinguni; Dhiki na taabu za dunia hii ni za kitambo tu; Hakika zitakwisha. Kila mmoja wetu na asemezane na mwenzake kwamba walio wake Bwana tu ndio wataishi milele katika nchi mpya. Wakati mwingine vifo, ajali na magonjwa mbalimbali yatukatisha tamaa lakini tunaye Mungu wa Mbinguni anayeruhusu kila jaribu litupate kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili uzima wa milele. Japo njiani kuna vikwazo vingi hebu kwa ujasiri na tusonge mbele Mungu wetu ni mshindi atatutendea yaliyo mema.