У нас вы можете посмотреть бесплатно BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Binti wa kazi za ndani anayesadikiwa kuwa na umri wa miaka 13 mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa boss wake mwenye umri wa miaka minne aliyefahamika kwa jina la Natalia Essau Kwa mujibu wa Janeth Mroso mama wa marehemu amesema alipigiwa simu na mfanyakazi wake nakuambiwa anaumwa ambapo alipofika alimkuta mtoto wake ameshafariki na alipokaguliwa alikutwa akiwa na majeraha sehemu mbalimbali ikiwemo kichwani Kwa upande wa kaka mkubwa wa baba wa marehemu amesema majira ya jioni kulitokea vurugu baada ya mama kushauriwa kwenda kwenye maombi ya nabii na kwamba atamrudisha na aliporudi usiku walishindwa kufanya hivyo ambapo shemeji yake alizidiwa nakuzimia lakini baadaye aliweza kuendelea vizuri.