У нас вы можете посмотреть бесплатно Siri ya Kushinda Wakuu wa Anga – Bishop Amos Komba или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika ibada hii ya mfungo wa maombi siku ya tatu, Bishop Amos Komba anafundisha na kuongoza maombi mazito ya vita vya kiroho dhidi ya "Wakuu wa Anga." Somo hili linakusaidia kuelewa jinsi ya kuvunja vizuizi vya kiroho, kufanya toba kwa ajili ya koo na familia, na kuweka agano la ulinzi na baraka kupitia neno la Mungu na sadaka. Ni muda wa kuinuliwa na kufunguliwa kutoka kwenye kila vifungo vya adui. *YALIYOMO KATIKA VIDEO HII* 00:00 Maombi ya shukrani kwa Mungu kwa ajili ya uhai na afya. 13:30 Maombi ya Toba na Rehema: Kutakasa nafsi, fikra, na dhamiri ya ndani. 19:46 Kuombea ukombozi wa familia na koo (upande wa baba na mama). 3:08:22 Matamko ya ulinzi dhidi ya magonjwa na majanga duniani. 3:09:54 Maombi ya baraka na ustawi ili nyumba yako isikose chakula. 3:11:37 Siri ya agano la sadaka madhabahuni na kukabidhi sadaka kwa Mungu. *SADAKA NA MAWASILIANO* KARIBU KUSIKILIZA IBADA NA WAKARIBISHE WENGINE. *MTOLEE MUNGU SADAKA ILI TUFIKIE MAELFU WAOKOLEWE* Tuma kwa namba zifuatazo: *NBC BANK:* 034172000070 *ACCOUNT NAME:* MOUNTAIN OF SALVATION INTERNATIONAL MINISTRY *M-PESA:* +255 755 851 654 *MITANDAO YA KIJAMII* Tufuatilie hapa kwa mafundisho zaidi: *Instagram:* pastor amos komba *Facebook:* amos komba *TikTok:* amos komba --- #BishopAmosKomba #MaombiYaVita #MfungoWaSiku3 #WakuuWaAnga #TobaNaRehema #MountainOfSalvation #AmosKomba #MaombiLive #Ukombozi #SadakaYaAgano #NguvuYaMaombi #GospelTanzania #HudumaYaMaombi #UshindiWaKiroho #MaombiYaLeo