У нас вы можете посмотреть бесплатно Ombeni Mtapewa (Official Audio) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aaaaaaahhaa Shetani Jinga sanaaaa Ombeni mtapewa, tafuteni mtapata Mlango mkigusa bwana ataufungua Gumu kwake hakuna, wewe simama imara Kamwe nyuma hapana, bisha ye atafungua Shetani toka wewe takataka, tumekuchoka hakuna anayekutaka Twasimama wima, yesu ndiye mwamba imara Kila goti litapigwa na ulimi utasema aaaha Nakubalii, Mungu ndiye kimbilioo Sitojali kwako lipo tegemeo Unanipenda tena unanilinda Usiku mchana unaniwazia mema na ndani yako bwana kuna uzima, uzimaa iyeeiyeee Msalaba alitufia ili tupate kupona, pendo lake swadakta hakika lafurahisha Mtazame sarah, hakuiacha sala ,alisimama imara na Mungu hakumuacha Saa ya bwana yaja jipange kabla haujapangwa, sali sana, omba sana ,tubu sasa ,wakati ni sasa Tengeneza njia yako usije kurudi nyuma, shetani mpe talaka asije kutia doa Omba bila kukoma akukute u salama, omba tena kukesha hujui saa atarudi. Nakubalii, Mungu ndiye kimbilioo Sitojali kwako lipo tegemeo Unanipenda tena unanilinda Usiku mchana unaniwazia mema na ndani yako bwana kuna uzima, uzimaa iyeeiyeee Daima mkono wako, uko pamoja nami, hakuna ushindwalo unaweza kila jambo x 2 Nakubalii, Mungu ndiye kimbilioo Sitojali kwako lipo tegemeo Unanipenda tena unanilinda Usiku mchana unaniwazia mema na ndani yako bwana kuna uzima, uzimaa iyeeiyeee