У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKULIMA WACHACHAMAA WAGOMEA KUTOA HATI ya SHAMBA “MNATUVURUGA” DAS WATOA MSIMAMAMO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAKULIMA WACHACHAMAA WAGOMEA KUTOA HATI ya SHAMBA “MNATUVURUGA” DAS WATOA MSIMAMAMO Wakulima zaidi ya 900 wa ushirika wa wakulima wadogo wadogo kilimo cha umwagiliaji mpunga dakawa UWAWAKUDA wilayani Mvomero mkoani Morogoro wamegomea kuwasilisha hati ya shamba namba 5/3 wizara ya kilimo kwa kuhofia kunyang'anywa mashamba hayo. Wakizungumza katika mkutano wa dharula ulioitishwa na umoja wa wakulima dakawa baadhi ya wakulima wamesema hawana imani na timu ya wataalamu kutoka wizara ya kilimo waliofika kwa lengo la kutaka kukabidhiwa hati hiyo bila kufuta utaratibu katika ngazi za serikali wilayani Mvomero. Wakulima hao wanasema Walianza kulima tangu mwaka 1974 na kupata rasmi hati ya shamba hili mwaka 2012 Baada ya kutokea Kwa sintofahamu hiyo Katibu tawala Wilaya ya Mvomero Said Nguya akatoa msimamo wa Serikali ya Wilaya kuwa haitambui Mchakato huo hivyo na kuahidi kufutailia Kwa karibu ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx