• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA. скачать в хорошем качестве

ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA. 3 months ago

millard

Ayo

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



ADAIWA KUMPIGA RISASI DEREVA ALIYEKUWA AMEPAKI GARI VIBAYA NA KUSABABISHA KIFO CHA MKEWE ARUSHA.

Mwanaume anayefahamika kwa jina la John Peter (45) mkazi wa eneo la Manyire wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, anadaiwa amemjeruhi dereva wa Scania kwa risasi baada ya gari lake aina ya Noah kugonga kwa nyuma Scania hiyo na kusababisha mke wake aitwae Lucy John (40) kufariki dunia papo hapo katika eneo la Nganana wilayani humo. Mmoja wa mashuhuda katika tukio hilo akizungumza na GADI TV amesema dereva huyo alipigwa risasi mbele yake na baada ya hapo ndugu Peter alianza kuwakimbiza waliokuwa wamefika kushuhudia tukio hilo huku akisikika akidai kuwa watu hao hawawezi kutoa msaada wakuweza kurejesha uhai wa mkewe katika usiku wa tukio hilo, February 11, 2025. Kwa upande wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo, imesema baada ya ndugu John kugonga Scania hiyo kwa nyuma, John alianza kumshambulia dereva huyo anayejulikana kwa jina la Jafari Shirima (62) kwa kutumia kitu chenye ncha kali na kumsababishia majeraha mbalimbali katika mwili wake. Katika hatua nyingine, GADI TV imefanya jitihada za kumtafuta Jafari na tumefanikiwa kumpata akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika moja ya Hosptali mkoani humo, na ametueleza kuwa alipigwa risasi ya tumbo, mkononi na mguuni kwa madai kuwa aliegesha gari hilo barabarani bila tahadhari na kusababisha ajali hiyo. Aidha, Shirima amesema kwasasa anaendelea vizuri baada ya matibabu, pia anawashukuru madaktari wote waliojitahidi kuokoa maisha yake. #breakingnews #trendingvideo #lifestyle #live #livestream #trendingshorts #trending GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected] Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.

Comments
  • Alan Walker, Dua Lipa, Coldplay, Martin Garrix & Kygo, The Chainsmokers Style 🔥 Summer Vibes #45 11 months ago
    Alan Walker, Dua Lipa, Coldplay, Martin Garrix & Kygo, The Chainsmokers Style 🔥 Summer Vibes #45
    Опубликовано: 11 months ago
    7181986
  • MBUNGE ACHAFUKWA BUNGENI AHOJI WANACHO FUNDISHWA WANAFUNZI KINAWASAIDIA NINI KWENYE MAISHA YAO 5 days ago
    MBUNGE ACHAFUKWA BUNGENI AHOJI WANACHO FUNDISHWA WANAFUNZI KINAWASAIDIA NINI KWENYE MAISHA YAO
    Опубликовано: 5 days ago
    309
  • Calming music for nerves 🌿 healing music for the heart and blood vessels, relaxation, music for soul 1 year ago
    Calming music for nerves 🌿 healing music for the heart and blood vessels, relaxation, music for soul
    Опубликовано: 1 year ago
    4810705
  • ALIYEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA AONGEA KWA HASIRA AKIWA NA MAMA YAKE, 10 months ago
    ALIYEDAIWA KUFUFUKA ARUSHA AONGEA KWA HASIRA AKIWA NA MAMA YAKE, "LAZIMA AUZE SHAMBA"
    Опубликовано: 10 months ago
    682136
  • KIJANA ARUSHA ALAWITIWA BAADA ya KUGOMA KUMLAWITI MWENZAKE - ADAI ALITISHIWA KUUAWA na CHUPA... 9 months ago
    KIJANA ARUSHA ALAWITIWA BAADA ya KUGOMA KUMLAWITI MWENZAKE - ADAI ALITISHIWA KUUAWA na CHUPA...
    Опубликовано: 9 months ago
    52440
  • HII HAPA HISTORIA YA STENDI MPYA ARUSHA, GAMBO NA MAKONDA WALISHASEMA HAYA, JE ITAKAMILIKA?. 1 month ago
    HII HAPA HISTORIA YA STENDI MPYA ARUSHA, GAMBO NA MAKONDA WALISHASEMA HAYA, JE ITAKAMILIKA?.
    Опубликовано: 1 month ago
    17427
  • Islamic Ruqyah for Healing and Peace | Play While Sleeping 1 year ago
    Islamic Ruqyah for Healing and Peace | Play While Sleeping
    Опубликовано: 1 year ago
    14398293
  • INAUMIZA: AKOPEA NYUMBA YA JIRANI MIL 200 KWA HATI FEKI, DOGO AFIKA IKULU KUMLILIA RAIS “TUSAIDIENI” 11 months ago
    INAUMIZA: AKOPEA NYUMBA YA JIRANI MIL 200 KWA HATI FEKI, DOGO AFIKA IKULU KUMLILIA RAIS “TUSAIDIENI”
    Опубликовано: 11 months ago
    192289
  • Страна-тюрьма хуже Северной Кореи / Самая закрытая страна без интернета, без паспортов @anton_lyadov 2 days ago
    Страна-тюрьма хуже Северной Кореи / Самая закрытая страна без интернета, без паспортов @anton_lyadov
    Опубликовано: 2 days ago
    536591
  • ХИТЫ 2025♫ СЛУШАТЬ МУЗЫКУ 2025 НОВИНКИ 🔲 КРУТАЯ МУЗЫКА В МАШИНУ 2025 💎 ЛУЧШАЯ МУЗЫКА МИКС 2025🎵 1 month ago
    ХИТЫ 2025♫ СЛУШАТЬ МУЗЫКУ 2025 НОВИНКИ 🔲 КРУТАЯ МУЗЫКА В МАШИНУ 2025 💎 ЛУЧШАЯ МУЗЫКА МИКС 2025🎵
    Опубликовано: 1 month ago
    371706

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS