У нас вы можете посмотреть бесплатно Goli la kujifunga la Zimbwe Jr: Simba SC 0-1 Kagera Sugar (TPL - 10/05/2019) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo wameangukia pua baada ya kuchapwa bao 1-0 na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Bao la Kagera kwenye mchezo wa leo limepatikana baada ya beki wa Simba Mohamed Hussein Zimbwe Jr kujifunga dakika ya 42 wakati akijaribu kuokoa hatari langoni mwake baada ya kuchanganyana na kipa wake Aishi Manula. Ushindi huo ni mwendelezo wa ubabe wa timu hiyo kutoka mkoani Kagera kwa Mnyama Simba, baada ya awali kuipa kichapo cha mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba katika mchezo wa kwanza msimu huu. Matokeo hayo yameineemesha Kagera Sugar katika jitihada za kuepuka kushuka daraja, ikifikisha pointi 43 na kukaa nafasi ya 10 huku Simba wakisalia kileleni na pointi 81.