У нас вы можете посмотреть бесплатно JAJI MKUU ATUA KIGOMA ATOA MAAGIZO KWA MASIJALA NDOGO ZA MAHAKAMA KUU NCHINI KUTUMIA TEHAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jaji mkuu wa Tanzania Prof Ibrahim Juma ameziagiza masijala ndogo za mahakama kuu nchini kutumia Tehama katika uendeshaji wa mashauri ili kusaidia katika kuepusha gharama kwa wananchi pamoja na muda wa kumaliza mashauri hayo. Amezungumza hayo katika ziara yake mkoani Kigoma alipotembelea masijala ndogo ya mahakamu kuu ya kanda ya Kigoma, moja ya mikoa ambayo wananchi wake walilazimika kusafira mpaka mkoani Tabora ili kupata huduma hiyo. Utoaji haki ni moja ya maeneo ambayo yanahitaji uwekezaji mkubwa ambao Prof Ibrahim Juma anasema kama ilivyokuwa hapo zamani ambapo uwekezaji katika majengo na miundombinu mingine ulipewa kipambele vivyo hivyo na sasa Tehama inapaswa kuwa kipaombele kwa Mahakama nchini.