У нас вы можете посмотреть бесплатно INUKA, CHINJA ULE | EVANGELIST DANNY VUNINGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SHALOM TAIFA LA MUNGU Karibuni Mara Tena kujiunga nasi katika mafundisho ya leo Jumamosi tariki 18 October 2025. Somo: INUKA, CHINJA ULE (Matendo ya Mitume10: 13 Lengo la haya mafundisho Ni kuwaamsha watu wa Mungu kutoka katika usingisi wa kidini, kuvunja sheria na desturi za kikabila ili kupokeya neema na ufunuo mpya wa Mungu, ufunuo kwamba: 1. Mungu hazuwiwi na Sheria za wanadamu, 2. Mungu anavunja mipango na Sheria za wanadamu ili atimize mapenzi yake, 3. Ufalme wa Mbinguni uko wazi kwa watu wote, na neema ya Kristo inaweza kubadilisha hata mtu anaye julikana na wanadamu Kama najisi na kumtakasa kwa utukufu wa Mungu. Fuata mafundisho haya tangu mwanzo Hadi mwisho, naamini kwamba mbali na kubarikiwa utakuwa na mtazamo mpya kwa watu wengine pia Kama mkristo utakuwa na hatua mpya ya Maisha KIROHO, KIMWILI NA KIJAMII. Usikose kutuambia mtazamo wako ndani ya COMMENT SECTION Kisha kufuata mafundisho haya. SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT AND SHARE #InukaChinjaUle #dannyvuningatv #africa #tanzania #kenya #motivation #drc #gospel #viral #usa #france #burkinafaso #cotedivoire #live