У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUU WA MKOA WA KAGERA AKIZUNGUMZIA UJIO WA KONGAMANO LA IJUKA OMUKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kongamano la IJUKA OMUKA 2025 litaanza rasmi Kesho Alhamis Disemba 18, 2025 kwa Ibada ya kuuombea Mkoa itakayojumuisha madhehebu yote itakayofanyika katika ukumbi wa KCU. Ijumaa Disemba 19, 2025 litafanyika Kongamano la Vijana. Jumamosi Disemba 20, 2025 litafanyika Bonanza la mpira wa miguu katika Uwanja wa Kaitaba ambalo litashirikisha timu za Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Waandishi wa Habari, Mamlaka ya Mapato [TRA], Jeshi la Polisi, Wafanyabiashara, Machinga na Boda Boda. Jumapili Disemba 21, 2025 Kongamano la IJUKA OMUKA 2025 litatamatika kwa Maonyesho na Simulizi za Buhaya Empire ikisindikizwa na Burudani kubwa ya Wasanii wakubwa na wadogo kutoka mkoani Kagera sambamba na ngoma za Asili.