У нас вы можете посмотреть бесплатно Ikulu Kubwa Baada ya Dar na Chamwino Iko Lushoto I Barabara ya Mombo-Lushoto Ijengwe ni Muhimu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Barabara ya Mombo-Lushoto kilomita 36 ni nyembamba mno na kwa sasa inapitisha magari mengi kwa ajili ya usafirishaji wa mbogamboga, matunda pamoja na abiria. Kwa sasa magari inabidi yapishane kwa kusimama kwenye kona. Tunaomba barabara hii iangaliwe kwani ni barabara muhimu sana" "Ukiondoa Ikulu ya Dar es Salaam kabla ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino Dodoma, Ikulu kubwa nyingine ni ile iliyopo Lushoto kwa hivyo ni vyema tukajenga barabara hii kwa sababu hapa ndipo kwenye Ikulu kubwa baada ya ile ya Dar es Salaam na Chamwino