У нас вы можете посмотреть бесплатно Ostadh Kipofu Anayefundisha Madrasa—Msikiti Wake Wahitaji Msaada Haraka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Video hii inaonyesha hali halisi ya ostadh ambaye ni mlemavu wa macho lakini anaendelea kufundisha madrasa kwa kujitolea. Madrasa na msikiti wa eneo hili vinahitaji ukarabati mkubwa pamoja na kupata kisima cha maji kwa ajili ya wanafunzi na waumini. Pia ostadh mwenyewe anahitaji msaada wa kimaisha ili aweze kuendelea kutoa elimu hii muhimu. Tafadhali tushirikiane kusaidia kwa kadri ya uwezo wetu. 📞 Mawasiliano ya msaada: [0718775877] 💳 Njia za kuchangia: [0718775877] Mix by Yas Asanteni sana kwa kushirikisha na kusambaza video hii