Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Masauti - Kesho FT Nadia Mukami (Official Lyric Video) For Skiza SMS 'skiza 6988017 to 811 в хорошем качестве

Masauti - Kesho FT Nadia Mukami (Official Lyric Video) For Skiza SMS 'skiza 6988017 to 811 10 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Masauti - Kesho FT Nadia Mukami (Official Lyric Video) For Skiza SMS 'skiza 6988017 to 811

Watch the Lyric Video for Kesho by Masauti featuring Nadia Mukami. Stream on all Digital platforms: https://masauti.ffm.to/kesho-wayoo Connect With Masauti   / officialmasauti     / officialmasauti_     / masauti   Lyrics (Nadia :) Ninachojua Uzee upo Usichana unakwenda Ule urembo haupo miaka zikienda Je utanipenda nikipata michirizi Utanipenda kikija nacho kitambi Nauliza utanipenda yangu maziwa yakilala Uzeeni Utanipenda ama utaoa tena ? (Masauti:) Oh My baby usiwe shaka mi mwenzako Nakupenda Ule urembo upo ata miaka ikienda Kwanza ndo utanoga ukipata michirizi Sio lazima flati tummy nitacheza na kitambi Hivyo hivyo nitakupenda hata kifuani pakilala Nami uzeeni utanipenda nikipata kiahara Chorus: Nadia: Keshoo I hope utanipenda my baby Mpaka Kesho kufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka kesho Niamini ntakupenda baby Mpaka kesho Tuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo Verse 2 Masauti: Shahidi yetu Mola Ile Siku mioyo iliposhikana Ukanipend nami nkakupenda Ndo nilijuwa milele hatutoachana mi nawe Nadia : Ujana ni moshi uko sure na mimi Tukose udosi je utakuwa na mimi For better for worse Iwe better for us Masauti: Hata tukiyumba mama Tuwe pamoja Nadia: Mi bado nitakupenda Kama kipato umekosa Kesho nitakupenda hata mgongo ukikunja Masauti: Hivi utanipenda kama mziki ukibuma Kweli uzeeni utanipenda nikipata kiharaa Chorus: Nadia: Keshoo I hope utanipenda my baby Mpaka Kesho kufa kuzikana mi nawe baby Masauti: Mpaka kesho Niamini ntakupenda baby Mpaka kesho Tuzeeke na wewe my baby Mpaka kesho mpka kesho mpka keshoo #Masauti #kesho #lyricvideo

Comments