• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 скачать в хорошем качестве

Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 1 year ago

Yah StoneTown YahStoneTown

SalamaJabir

SalamaNa

MarcoChali

Jokate

FidQ

MxCarter

KhadijaKopa

Gigi Money

Gigy Money

MwanaFA

Ay

DiamondPlatnumz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 2 SendTip MPESA LIPA NO 5578460

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Kwa ambao wanafuatilia mpira hapa nyumbani wanamjua mchezaji huyu mahiri wa Simba Queens lakini ambao wanafuatilla soka la wanawake hawa watakua wanaelewa uwezo binafsi na uhodari wake wa kucheza namba tofauti tofauti uwanjani ila ukimkuta kaikamata mbavu ya kulia aidha kwa Simba au timu ya Taifa ya Tanzania. Fatuma Issa ni mtu na nusu, hakuna mpenzi wa mpira au kocha yoyote wa mpira anaweza akamuacha kwenye benchi wakati team inatafuta matokeo au inataka kuwaonyesha walofika kuwaangalia vipaji ambavyo wanavyo kwenye kikosi chao. Kwa yoyote yule na kwa vyovyote vile, Fetty Densa, ni lazima AANZE. Ananikumbusha sana mimi na rafiki zangu wakati tunakua, tulikua chizi michezo hasa baada ya kufika shule ya Sekondari, ilikua kama lazima kila mmoja kuwa na uwezo wa kucheza zaidi ya mchezo mmoja ili tuwe na vikosi imara inapotokea kwenda kufanya uwakilishi wa shule, mkoa au nchi. Binafsi nilikua na uwezo wa kucheza Basketball na table tennis tu ila nina marafikia kama kina Kalova na Mboni Mntambo ambao wao walikua wanacheza Basketball, Netball, Volleyball na chochote kitakajokuja mbele ambacho kinatumia mpira kucheza lol, na tena VIZURI, sio kujazia namba tu uwanjani. Naye Fetty ni kama wanangu hao kutokana na maongezi yetu. Ananiambia hata shuleni mwalimu na wanafunzi wote katika shule yao walikua wakifahamu na kujivunia yeye sana. Akiwa anakua huko Morogoro Fetty ni ‘mtoto wa Bibi’ zaidi, yeye ndo alomlea na kumtunzia siri zake zote, na ndo alomfundisha kupika na kumkumbusha kwamba yeye ni mtoto wa kike kwahiyo alihakikisha pia mjukuu wake kwenye masuala ya kupika na usafi wake na wa nyumba pia haachi kujifunza. Bibi pia ndo alipewa ahadi ya kwamba kuna siku mjukuu atakuja kuwa mchezaji hodari kuwahi kutokea hapa nyumbani na so far, so good. Babu yake nae hakua nyuma kwenye kumsifia mjukuu wake pale anapofanya vizuri jikoni kwasababu pengine kuna umuhimu wa kufanya hivyo ili ampe moyo mjukuu wake. Fatuma anatuambia humu kwenye maongezi yetu jinsi ambavyo alihangaika mkoani Morogoro kupata team ya kucheza na jinsi ambavyo alijutuma toka siku ya kwanza kuhakikisha ndoto zake zinatimia. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kama ni mtu mwenye mawazo ya mbele kuliko hata umri wake, hiyo inamsaidia pia inapofika wakati wa kufanya maamuzi anapokua ndani na nje ya uwanja. Unaweza ukajiuliza kwa kipaji chake na ujuzi wake kwanini hachezi nje ya nchi? Kwanini amekua Simba huu msimu wake wa nne na amekua akicheza kwa kiwango cha juu sana? Densa anatupa majibu ya swali hilo ambalo nina uhakika wengi wao wamekua wakijiuliza. Mahusioano yake na Mama yake ambaye alikua mmoja kati ya wanenguaji wazuri miaka iliyopita na ndo alimfanya pia mwanae naye atake kuwa Densa (ndo jina la Fetty Densa lilikotokea). Wana mahusiono ya aina gani? Mama alilichukuliaje suala la Binti yake kuchagua soka? Na Mzee wake nae yuko wapi? Nafasi yake kwenye team yake? Team ya Taifa je? Experience ambayo waliipata Morocco wakati Simba ilipoenda kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Africa? Vipi kuhusu mpira wa miguu wa wanawake hapa nyumbani? Pesa ipo? Muelekeo je? Haya maongezi ni moja ya maongezi bora ambayo nimeshawahi kufanya na natumai yatafungua milango kwa watoto wa kike na wazazi wao wengi kuelewa na kuipambania fursa hii ambayo Dunia nzima imeanza kuielewa. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible &...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460 1 year ago
    Salama Na FETTY DENSA SE6 EP70 KUTOKA UBAVUNI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 1 year ago
    15642
  • Salama Na EVANS BUKUKU SE6 EP71| STICK TO ITIVENESS PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 1 year ago
    Salama Na EVANS BUKUKU SE6 EP71| STICK TO ITIVENESS PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 1 year ago
    7488
  • Salama Na Masoud Kipanya 10 months ago
    Salama Na Masoud Kipanya
    Опубликовано: 10 months ago
    23054
  • Богатый Техас и трешовая Луизиана: мой роуд-трип по югу США | Интервью с ковбоями, мигранты, Трамп 3 days ago
    Богатый Техас и трешовая Луизиана: мой роуд-трип по югу США | Интервью с ковбоями, мигранты, Трамп
    Опубликовано: 3 days ago
    505653
  • НАШ СМАРТФОН НА АВРОРА ОС - СОКРУШИТЕЛЬНЫЙ ОТВЕТ Н.А.Т.О! 7 hours ago
    НАШ СМАРТФОН НА АВРОРА ОС - СОКРУШИТЕЛЬНЫЙ ОТВЕТ Н.А.Т.О!
    Опубликовано: 7 hours ago
    44358
  • ESHA BUHETI AFUNGUKA SAKATA LA NDOA YAKE 4 weeks ago
    ESHA BUHETI AFUNGUKA SAKATA LA NDOA YAKE
    Опубликовано: 4 weeks ago
    1163
  • Dkt Ntuli Kapologwe, Ushindi wa Professor Mohamed Janabi 3 days ago
    Dkt Ntuli Kapologwe, Ushindi wa Professor Mohamed Janabi
    Опубликовано: 3 days ago
    47
  • RTX 5080 Super 24 GB, Radeon 9060 XT, Steam на Xbox, будущее от Google: новости от Даши! 5 hours ago
    RTX 5080 Super 24 GB, Radeon 9060 XT, Steam на Xbox, будущее от Google: новости от Даши!
    Опубликовано: 5 hours ago
    12377
  • Что не так с Западом? Мигранты, левые, цензура / вДудь 1 day ago
    Что не так с Западом? Мигранты, левые, цензура / вДудь
    Опубликовано: 1 day ago
    1084011
  • Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 1 year ago
    Salama Na ALLYBEE SE6 EP72| KULE NI KULE... PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 1 year ago
    40373

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS