У нас вы можете посмотреть бесплатно TUMBAKU:WHO HAIJAPINGA ZAO HILO/NI ZAO LA PILI KWA KUINGIZIA TANZANIA PESA ZA KIGENI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#focusnewstanzaniatv ,#who ,#tanzania ,#sns ,#bbc ,#dwkiswahili Licha ya kilimo cha tumbaku Kuelezwa kuliingizia Taifa la Tanzania mapato makubwa yanayotokana fedha za kigeni na hivyo kuongeza tija kwa wakulima katika maeneo yanayolimwa zao hilo ikiwemo mkoa wa Tabora ulioko magharibi wa Tanzania, yaelezwa kuwa zao hilo limekuwa likichangia uharibifu wa mazingira kutokana na wakulima wa zao hilo kukata miti kwa ajili ya kukaushia tumbaku hiyo kabla ya kupeleka kuiuza sokoni na kisha kusafirishwa katika soko la dunia. Suala ukataji miti kwa ajili ya kukaushia zao la tumbaku imekuwa ni mtambuka na hata kuwafanya watafiki wa masuala ya kilimo kuanza kufanya utafiti ili kuja na nishati mbadala ikiwemo makaa ya mawe ambayo hayataharibu mazingira kama ilivyo kwa wakulima kukata miti kwa ajili ya kukaushia tumbaku. Mtazamaji, karibu katika makala maalumu yanayoangazia kilimo cha zao la tumbaku mkoani Tabora ikiwa ni pamoja na harakati za watafiti kutoka katika taasisi ya utafiti wa zao la tumbaku nchini Tanzania, TORITA, mwenyeji wako ni Deo Kaji Makomba.