У нас вы можете посмотреть бесплатно 4. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA KIROHO | Mwl. Isaac Javan или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hili ni somo la kufungua vifungo. Ni somo maalum kwa watu wote ambao wanataka kuvuka na kusonga mbele kwenye maisha. Katika somo hili, utajifunza mambo yafuatayo. 1. Maana ya minyororo ya kiroho. 2. Sababu zinazopelekea mtu afungwe na minyororo ya kiroho. 3. Mikakati mbalimbali ya kuvunja minyororo ya kiroho kwa njia ya maombi. Ni maombi yangu kwa Mungu, mpaka mwisho wa somo hili, Mungu atakutana na wewe, na atakuhudumia na kukupa haja ya moyo wako sawasawa na mapenzi yake. Hili ni somo la siku 5, nami nakutia moyo katika Kristo Yesu, fuatilia vipindi vyote vitano ili upate kitu cha kukusaidia. Mungu akubariki, chukua daftari yako na kalamu, ujifunze somo hili. Mshirikishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na mafundisho haya. Amen. HUDUMA/MAOMBI +255 745 76 45 72