У нас вы можете посмотреть бесплатно Miquissone apiga bao lake la kwanza VPL, Kagere akosa penati Simba ikiipiga Biashara 3-1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Biashara United, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Kiungo raia wa Msumbiji Luis Miquissone amefunga bao la kwanza na kutoa assist ya bao la pili lililofungwa na Medie Kagere, huku bao la tatu likifungwa na Francis Kahata. Bao la BIashara limefungwa na Dismas Novatus. Kama kawaida mechi ilikuwa EXCLUSIVE katika decoder ya Azam TV. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz