У нас вы можете посмотреть бесплатно Hali ni tete mafuriko Rufiji, mamia kufikia makazi yao kwa ‘Boti’ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rufiji Mamia ya wananchi hawana mahali pa kuishi, huku wengine 55 kutoka kaya 15 wakihifadhiwa kwenye shule za msingi wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani, baada ya nyumba zao kufunikwa na maji yanayotoka katika bwawa la mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Mbali na kukosa makazi, watu hao wako hatarini kukumbwa na njaa baada ya mazao yao kuzama kwenye maji mashambani. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Aprili 4, 2024 katika Kijiji cha Mohoro wilayani humo, Diwani wa Kata ya Mohoro ambaye pia nibMwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji, Aboubakari Chobo amesema tathmini za kila siku zinaonyesha maafa tanaendelea kuongezeka. Hata hivyo, amesema wamewataka watu hao watafute sehemu nyingine maana Jumatatu Aprili 8, 2024 shule zinafunguliwa. Amesema hakuna kifo kilichotokea tangu mafuriko yalipoanza. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj